Meneja Mkuu wa Mgodi wa North Mara, Gary Chapman, akionyesha wafanyakazi wenzake wa mgodi huo, tuzo ya umahiri ya mwaka 2014, (Excellence Awards 2014), waliyonyakua kwa kuwa mgodi wenye kuzingatia usalama kwa kiwango cha juu, wakati wa utoaji tuzo hizo awamu ya pili iliyofganyika kwenye mgodi huo Jumanne usiku Machi 23, 2015.
Stanley Harding, Meneja wa Liability, mgodi wa North Mara, (kushoto), akimkabidhi tuzo ya umahiri ya mwaka 2014, Adam Charles, kwa niaba ya idara ya operesheni ya mgodi huo, kwenye sherehe za awamu ya pili ya utoaji tuzo hizo (Excleence Awards 2014), zilizofanyika Jumanne usiku Machi 23, 2015, kwenye mgodi huo ulioko Nyamongo, wilayani Tarime mkoa wa Mara. Tuzo hizo utolewa kila mwaka kwa mfanyakazi binafsi au idara, kutokana na umahiri katika kutekeleza majukumu yao kwa weledi na nidhamu ya hali ya juu.
Meneje
Mkuu wa Mgodi wa North Mara, Gary Chapman, akizungumza kwenye hafla ya
awamu ya pili ya utoaji tuzo za umahiri mwaka 2014 (Excellence
Awards 2014), iliyofanyika Jumanne usiku Machi 23, 2014, kwenye mgodi
huo ulioko Nyamongo, wilayani Tarime mkoa wa Mara.
Meneja
mkuu wa mgodi wa North Mara, Gary Chapman, (kushoto), akishuhudia
wakati Le Poer Trench, (katikati) na Albert Rudman, wakionyesha tuzo za
umahiri za mwaka 2014, (ECellence Aawards 2014), walizopokea kwa
niaba ya idara ya huduma za kiufundi ya mgodi huo, kwenye hafla ya awamu
ya pili ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika kwenye mgodi huo ulioko
Nyamongo wilayani Tarime mkoa wa Mara, Jumanne usiku Machi 23, 2015
Meneja
Mkuu wa Mgodi wa North Mara, Gary Chapman, (kushoto), akimkabidhi Aziz
Rashid, kwa niaba ya idara anayofanyia kazi ya Matengenezo, tuzo ya
umahiri ya mwaka 2014, itolewayo na kampuni ya uchimbaji madini ya
Acacia, kwenye hafla ya awamu ya pili ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika
kwenye mgodi huo wilayani Tarime mkoa wa Mara Jumatatu usiku Machi 23,
2015. Tuzo hizo utolewa kila mwaka kwa mfanyakazi binafsi au idara,
kutokana na umahiri katika kutekeleza majukumu yao kwa weledi na nidhamu
ya hali ya juu.
Meneja
Mkuu wa Mgodi wa North Mara, Gary Chapman, (katikati), akiwa katika
picha ya pamoja na wafanyakazi wa idara ya matenegenezo ya mgodi huo,
baada ya kuwapatia tuzo na vyeti kwenye hafla ya awamu ya pili ya utoaji
tuzo za umahiori mwaka 2014, zilizofanyika kwenye mgodi huo Jumanne
usiku Machi 23, 205. Tuzo hizo utolewa kila mwaka kwa mfanyakazi binafsi
au idara, kutokana na umahiri katika kutekeleza majukumu yao kwa weledi
na nidhamu ya hali ya juu.
Stanley Harding, Meneja wa Liability, mgodi wa North Mara, (aliyechuchumaa katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa idara ya operesheni ya mgodi huo mara baada ya kuwatunuku tuzo ya umahiri ya mwaka 2014, kweney sherehe ya awamu ya pili ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika kwenye mgodi huo ulioko Nyamongo, wiklayani Tarime mkoa wa Mara, Jumanne usiku Machi 23, 2015. Tuzo hizo utolewa kila mwaka kwa mfanyakazi binafsi au idara, kutokana na umahiri katika kutekeleza majukumu yao kwa weledi na nidhamu ya hali ya juu.
No comments:
Post a Comment