huyu jamaa mwenye hii Prado hapa mbele (aliesimama kwenye mlango wa dereva wa daladala) alikasirishwa na dereva huyo baada ya kumchomekea na kukwangua Prado hilo kisha kukimbia,kumbe jamaa alimuona na akaanza kumkimbiza na kuja kumkuta hapo.
No comments:
Post a Comment