HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 28, 2015

TUNAISHI KWA KUTEGEMEANA.

 Kamera ya mtaa kwa mtaa blog ilipotembelea mitaa mbalimbali kama kawaida yake ikabahatika kunasa taswirazz za watoto mtaa wa jirani wakionesha upendo kwa kuwalisha mbuzi waliopo mtaani kwao.
 dogo akiendelea kumwita mbuzi kwa lengo la kumpatia majani kama inavyo julikana zaidi chakula cha wanyama hao wanapendelea sana kula majani.
madogo wakiendelea kusambaza upendo kwa mbuzi hao na hivi ndivyo inavyo takiwa tusiwapende wanyama hao mezani tuu tuwapende hata wawapo hai.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad