HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 22, 2015

NIMEPENDA BURE MCHEZO WA WATOTO HAWA.

 Kamakawaida yangu mtaani nilitembelea mtaa moja na kukuta watoto hawa pichani wakiwa katika michezo kama ilivyo ada kila siku watoto na michezo na kukuta kamchezo haka ka watoto hao wakiburuzana kwenye kibox.
 kamhezo kakiendelea huku mmoja akichekelea udodo wa mchezo huo.
 ghafla bini vuu wakageukiana na kuanza kupeana kichapo kwa kuto helewana wao kwa wao mchezoni.
                  haya ndio mambo ya watoto bana.               

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad