HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 5, 2015

mzigo ukiwahishwa sokoni

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa leo imemnasa mdau huyu aliekuwa kabeba lumbesa ya makopo ya maji yaliyotumika akiyapeleka kwenye vipimo ili kuyauza.Biashara hii imepata wadau wengi sana,ambapo sasa hivi ukitupa kopo la maji chini linapiganiwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad