Kamera ya mtaa kwa mtaa blog ilitembelea mtaa wa mafiati jijini mbeya kama kawaida ya ukaguzi wa mitaa na kukutana na vijana walio jiajiri kwa shughuli ndogo ndogo za kutengeneza masanduku yanayo tumika zaidi au kutumiwa zaidi na wanafunzi pindi waendapo kwenye mabweni mashuleni kwao.
Saturday, March 21, 2015

Home
Unlabelled
MASANDUKU YA BATI YANAPATIKANA HUKU.
MASANDUKU YA BATI YANAPATIKANA HUKU.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment