HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 14, 2015

MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI MAGEREZA KOZI NA. 27 YAENDELEA VYEMA CHUONI KIWIRA, TUKUYU, MBEYA

 Askari Wanafunzi (Recruits) wa Mafunzo ya Awali ya Askari Magereza Kozi Na. 27 wakiendelea na masomo kwa vitendo katika Gwaride la silaha kama wanavyoonekana kikakamavu wakiwa na Walimu wao uwanjani huku silaha zao zikiwa begani.
 Askari Wanafunzi wa Mafunzo ya Askari Magereza Kozi Na. 27 wakiendelea na somo la Gwaride la Salaam ya Utii wakiwa na silaha kama inavyoonekana katika picha.
 Bango Kuu linaloonyesha unapoingia Chuo cha Mafunzo ya Askari Magereza kilichopo Kiwira, Mkoani Mbeya.
Askari Wanafunzi wa Mafunzo ya Awali ya Askari Magereza wakiendelea na masomo ya Darasani. Katika Mafunzo hayo hujifunza masomo mbalimbali ikiwemo Utawala na Uendeshaji wa Magereza, Sheria zinazoongoza Jeshi la Magereza, Ustawi wa Jamii, Afya, Uraia na Utawala na Uongozi(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad