HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 8, 2015

HIVI NDIVYO PUNDA ANAVYO SHUSHA MZIGO.

 Kama kawa kama dawa mzee wa mtaa kwa mtaa blog akiangazia mitaa mbalimbali nchini baada ya jicho lake kuingia mchanga hatimae kulipekecha pekecha na kunasa taswira za mnyama maharufu mwenye sifa kedekede za ubebaji wa mizigo almaharufu kwa jina la punda na kushuhudia ubwagaji wa mzigo wa wakina mama hao pichani jinsi ulivyo mnono.
 punda anatabu basii yeye akishafikisha mzigoo tuu ni kubwaga na yeye pia kwa heshima ya kifipa hulala dolo moja kwa moja kuashilia mzigo umefika salama salmini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad