HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 9, 2015

GEPF WATOA SEMINA MAALUM KWA MAAFISA RASILIMALI WATU KUTOKA MIKOA YA MWANZA, GEITA NA MARA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Magesa Mulongo akifungua rasmi semina hiyo maalum kwa maafisa rasilimali watu na kuusifia Mfuko wa GEPF kwa ubunifu wake na huduma bora kwa wateja.
Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja kutoka Mfuko wa Pensheni wa GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akitoa neno la utangulizi kulia kwake ni Meneja wa GEPF Mkoa wa Mwanza Bw Nathan Makuchilo.
Pichani baadhi ya washiriki wa semina hiyo maalum wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Magesa Mulongo wakati wa ufunguzi huo.
Washiriki wa Semina hiyo katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa pamoja na uongozi wa Mfuko wa GEPF mara baada ya ufunguzi wa semina hiyo maalum.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad