HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 28, 2015

DADA MMOJA AKUMBANA NA SEKESEKE LA KUFANYA USAFI SAMBAMBA NA WAMACHINGA SIDO JIJINI MBEYA.

 Mzee wa mtaa kwa mtaa mapema leo alipo kuwa mtaani akakumbana moja kwa moja na sekeseke la wa machinga wakiwa wamemzunguka dada mmoja ambaye hakuweza kufahamika kwa majina baada ya kuleta kiburi cha kuto shilikiana na wamachinga wa eneo hilo pindi walipo mtaka awasaidie kusafisha mazingira katika eneo hilo kama ilivyo kawaida jijini humo kufanya usafi wa mazingira kila siku ya jumamosi jijini humo.picha na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) Mbeya.
 hapa wakati machinga wakimkimbiza dada huyo alipo kuwa akiwakimbia wa machinga hao.
 baada ya kufanikisha kumkamata kisha alipewa mfagio kwa lengo la kujumuika kufanya usafi pamoja na wausika wa eneo hilo.
           dada akipiga fagio tena kwa usimamizi mkali kutoka kwa wamachinga.
 Dada mwenyewe alikubali kwata la wamachinga katika swala zima la usafi wa mazingira ufanyikao kila juma mosi nyumba hadi nyumba mtaa hadi mtaa kwa agizo la mkurugenzi wa jiji la mbeya.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad