HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 15, 2015

Benki ya UBA yaendelea na utaratibu wa kujifua pamoja na wateja wao

Wafanyakazi wa Benki ya UBA (United Bank for Africa), wakishindana kuvuta kamba wakati wa mazoezi waliofanya jijini Dar es Salaam jana kutokana na utaratibu waliojiwekea kwakila baada ya miezi mitatu hufanya mazoezi pamoja na wateja wao.
Mwalimu wa mazoezi ya viungo kutoka Chama cha walimu wa mazoezi hayo, FIAT, Ray Mwamakula (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi wa Benki ya UBA (United Bank for Africa), kufanya mazoezi Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad