HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 27, 2015

AJALI YA GARI ILIYOTOKEA HIVI SASA KWENYE KIPITA SHOTO CHA SAMORA NA AZIKIWE JIJINI DAR

Kondakta (ambaye jina lake halikufahamika - kulia) wa Basi  UDA  lenye namba za usajili T 558 CVP akizungumza na mmoja wa abiria na kumuomba asubiri ili awapandishe kwenye gari nyingine la kampuni hiyo, baada ya gari hilo kugonga gari ndogo lenye namba za usajili wa T 498 DCU katika kipita shoto cha Samora na Azikiwe, jijini Dar es salaam leo.
 Askari wa Usalama Barabarani wakiwa katika eneo la tukio
 Askari wa Usalama Barabarani katikati akiongea na Dereva wa UDA. 
Gari ndogo inavyoonekana baada ya kugongwa na UDA leo.(PICHA NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad