Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya viongozi wa vyama vya
siasa na vingozi wa serikali wakati alipowasili katika soko la mwanjelwa
Februari 25,2015 tayari kwa uzinduzi wa soko hilo ambalo linaloendelea
kujengwa jijini Mbeya.Picha na Fadhil Atick,Globu ya Jamii.

Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wakazi wa
mji wa Mbeya mjini mara baada ya uzinduzi wa Soko la Mwanjelwa.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akipewa maelezo mafupi ya maendeleo ya soko hilo kutoka kwa mkandalasi wa ujenzi wa Soko hilo.
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya,Mh. Mary Mwanjelwa akizungumza machache.

No comments:
Post a Comment