HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 9, 2015

WATAALAMU WA MABANGO WAKIWA MZIGONI.


Ndivyo ilivyo siku zote na ndivyo inavyo julikana kwa kila mtu yakwamba kila mtu na kipaji chake, libeneke lako la mtaa kwa mtaa blog katika uonjaji wapishi mtaani kwako ikakumbana moja kwa moja na wataalamu wa kufunga mabango wakionesha umahiri na utaalamu wao.
Huu ndio utaalamu ninao zungumzia, cheki jamaa pichani ambae yupo juu kabisa ya bango bila kamba wala nini kipaji tuu ndo kinafanya utaalamu hapo.
Tazama kwa umakini taswira hii ndipo utajuwa kuwa hawa jamaa ni wataalamu kweli kweli mmoja kashika ngazi, mwingine kapanda ngazi lakini huyu mwengine ndio yupo kileleni juu kuleeee.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad