HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 3, 2015

WANANCHI WALIPOAMUA KUFUNGA BARABARA KUSHINIKIZA KUWEKEWA MATUTA JIJINI DAR

 Wananchi wakiwa wamepanga mawe na miti kuziba barabara ya Bagamoyo Road maeneo ya Kawe Bondeni jijini Dar es salaam leo ili kushinikiza kuwekewa matuta ya barabarani ili kupunguza ajali zinazotokea mara kwa mara eneo hilo. Hadi tunaruka hewani Jeshi la Polisi lilikuwa limeshawatawanya wananchi hao na kuondoa vizuizi hivyo baada ya kusababisha foleni ya takriban saa moja hivi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad