HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 5, 2015

WAKINA MMOOO WOTE NA WATU WAWILI TUU.

 Mzee wa mataa kwa mtaa alipo zama kiundani zaidi mtaani na kukuta shurba ya wakina mmoo wakiongwozwa na vijana wawili tena kwa ishara na kuelewa wanacho kiwasilisha wachungaji wao kama ni mbele, kushoto au kulia.


Njemba hizo mbini zikiwa sambamba na wakina dog dog kuwapeleka ng'ombe hao kunako husika.           

mzeeiyaa akiwa kwenye angalizo  kwa ng'ombe mmoja alie kuwa akitegea tegea na mapembe yake ya ndovu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad