UNAIJUA MBINU YA KUSHUKA NA MZIGO MTELEMKONII NA MKOKOTENI??
Hatua ya kwanza macho mbele na kusonga mbele kwa mwendo wa kinyonga
hatua ya pili shika mshikio wa toroli lako na ukanda mizie moja kwa moja chini ata ukikwaluza mkeka haina noma si una muona jamaa pichani hana shida na mtu taratibu.
No comments:
Post a Comment