Saturday, February 28, 2015

DARAJA LA TACHI SKRINI UMELIONA

Mzunguko wa libeneke hili leo umebahatika kupita njia moja wapo mtaa wa kina fulani pale pale na kukuta kijidalaja cha kuvuka kwenda ng'ambo cha kioo tena cha kutachi si mchezo hii.

No comments:

Post a Comment