Katika pitapita zangu za kusaka mambo kadha wa kadhaa ya kuhakikisha libeneke lako pendwa la Mtaa kwa Mtaa Blog halilali njaa,nilikatika barabara ya Morogoro rodi na kukuta umati wa watu ukiwa umeweka pozi kabisa,ukishangaa namna msanii wa vishekesho hapa nchini akiendesha baiskeli wakati akiwa kwenye zoezi la kurekodi tangazo.huku ulinzi ukiwa mkali toka kwa afande aonekanae pichani hapo.pata picha huu ni mchana wa jua kali na mambo ndio kama hivi.
Saturday, February 7, 2015
Home
Unlabelled
ULINZI MKALI KUMSHANGAA JOTI AKIENDESHA BAISKELI
ULINZI MKALI KUMSHANGAA JOTI AKIENDESHA BAISKELI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment