HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 19, 2015

TASWIRA MBALIMBALI KATIKA MTANANGE WA YANGA NA TZ PRISONS AMBAPO YANGA WAICHALAZA TZ PRISONS GOLI 3-0 KATIKA UWANJA WA SOKOINE JIJINI MBEYA.


 Kikosi cha yanga fc ambao wameibuka mshindi kwa kuwachalaza Tz Prisons goli tatu kwa bila ambapo dakika ya 4 simon msuva alifungua lango kwa kutumbukiza goli la kwanza hatimae mchezaji wa Tz Prisons kuwapatia goli lingine tena yanga fc kwa kujifunga dakika ya 11 na mwisho simon msuva jezi nambali 27 mgongoni kuhitimisha kwa kuwa chapa goli la tatu katika mtanange wa ligi kuu ya vodacom ulio fanyika katika uwanja wa sokoine jijini mbeya picha zote na Fadhiri Atick a.k.a Mr Pengo globu ya jamii nyanda za juu kusini.
 kikosi cha tanzania Prisons wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mechi kuanza
       vijana wa huduma ya kwanza wakiwa tayari kwa lolote uwanjani hapo.
                                     mashabiki wa yanga fc.



                                                     yanga fc iki shangilia bao la kwanza.


                                                   BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad