Kamera ya Mtaa kwa Mtaa mchana wa leo imewanasa jamaa hawa wakiwa wamekusanywa kwa wingi huku wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi,wakipelekwa kituo cha Mabatini,Sinza jijini Dar.nilipojaribu kudodosa dodosa juu ya safari yao hiyo,nilipewa jibu moja tu kuwa hawa ni vikaba hivyo wamekamatwa na wanapelekwa kituoni kwa kuchukuliwa maeneo zaidi.
Monday, February 9, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment