Katika pitapita za Mtaa kwa Mtaa Blog,leo nimekatiza maeneo ya Mikocheni A na kukutana na mfuniko huu maridhawa kabisa katika moja ya chemba zilizopo katika barabara ya Migombani inayotoka Drive inn kuelekea Makumbusho.Kiukweli nilimevutiwa sana na mfuniko huu na naamini hata nyinyi wadau mtavutiwa nao pia.
Thursday, February 19, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment