HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 28, 2015

KILIO CHA MTAA KWA MTAA KIMESIKIKA HAPA.

Katika kuhakikisha mitaa yote inapata max sahihi kulingana na mtaa ulivyo libeneke lako pendwa la mtaa kwa mtaa blog lili lalamika sana juu ya mmomonyoko wa udongo katika eneo la dalajani makunguru jijini mbeya ambao ulikuwa ukihadhili katika eneo hilo hususani wapita njia sasa limepatiwa ufumbuzi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad