Hili ni neno la Leo Mtaani kama ilivyo ada ya libeneke hiki.
Dereva wa Daladala na Konda wake wakipiga stori baada ya kazi Mchana wa leo,tai ndio mpango mzima.
Ila swala la kukata miti na kuacha uchafu namna hii,hata silifagilii kabisa.
Kijani kitupu eneno hili hadi raha.
hapo vipi mazeee
Usafiri wetu eneo la Posta mpya jijini Dar.









No comments:
Post a Comment