Kamera ya mtaa kwa mtaa blog imemnasa kuli mmoja akijikakamua mtaani kwa kujiongeza kusukuma toroli lenye mawe mazito peke yake mtaa wa saba pale.
Si likamshinda bana ikabidi ajiongeze tena kwa kuyapanga mawe yale vizuri kwani mawe yale ni yameshiba kweli kweli si mchezo aisee.
Wasamalia walio kuwa wakikatiza mtaa huo ikabidi wajitoe kumsaidia jamaa aepukane na hatihati aliyo nayo mtaa wa saba pale.
Msaada ukiendelea, ushauri tuu unapo pata tenda kama hii mdau tafuta mtu wa kukusaidia hawa wamemsaidia huyu huwezi jua kama na wewe watakusaidia tugawane tenda wadau.
No comments:
Post a Comment