
Natanguliza
shukrani zangu mbele ya Mwenyezi Mungu ambaye ameendelea kunipigania
kila kukicha,lakini pia niwashukuru wazazi wangu Abdalah Mbaruku na
Eustela Massatu kwa malezi mema ambayo mmekuwa mkinipatia hadi leo
kijana wenu nimefikia katika umri huu.
Furaha niliyo nayo leo ni sawa na ile ambayo wanayo wadogo zangu wapendwa Jane,Judi,Juma Busagaga ,Ashura Mbaruku na mtoto mpendwa Jesca Dixon pamoja na ndugu zangu kaka,Dada,wajomba ,mashangazi,marafiki na wengine wote tuendelee kufanya maombi ili Mwenyezi Mungu atusimamie katika kila jambo.


No comments:
Post a Comment