Katika pitapita zangu usiku huu,nimekatiza maeneo ya Sinza Kijiweni na kufanikiwa kukinasa choo hiki cha pabliki kikiwa kando ya mtaro uliopo eneo hilo.hii inaonyesha ni mambo mswano kiasi gani kwa watumiaji wa njia hii,maana mzigo wenyewe ni wa kuflashi halafu uko nje.
Wednesday, February 4, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment