Daladala moja imejikuta ikipitiliza moja kwa moja kwenye mtaro baada ya mchuma huuo kukata breki hatimae kutumbukia mtaroni katika eneo la sokoine barabara mpya ya daladala jijini mbeya.
Daladala hiyo yenye nambali za usajiri T 499 ADZ itokayo Stendi kuu kuelekea Nsalaga ikiwa katika mtaro.
Konda wa mchuma huo shoto akitathmini kilicho tokea.





No comments:
Post a Comment