Haya sasa mzee wa mtaa kwa mtaa alicho kumbana nacho leo,ni sekeseke la lori la mchanga baada ya kumaliza kubenua mchanga likajikuta kunogewa na hatimae kubenua mlango wake wanyuma na wakazi kuudaka kuonyesha ungangari wao pindi ulipo seleleka.
"hapo hapo nati zote zime kaa eee, shusha bodi babuu hapa mwake."

No comments:
Post a Comment