Kamera
ya Mtaa kwa Mtaa,iliwanasa watoto hawa ambao majina yao hayakufahamika
mara moja wakiwa wakichezea maji yaliyokuwa yakitoka kwenye moja ya
bomba la maji lililokuwa limeungwa ungwa maeneo ya Kawe jijini Dar.
Watoto hao wakiendele na michezo yao huku mmoja akionekana kuiweka sawa mask yake aliyokuwa ameivaa (huyu inaonekana atakuwa mtaalam wa kazi fulani hapo baadae).
No comments:
Post a Comment