Leo katika katiza katika ya Kamera ya Mtaa kwa Mtaa,nimebahatika kuzinasa taswira hizi za mwanamama mfanyabiashara ndongo ndogo akisafirisha biashara yake kwenye guta huku na yeye akisikilizia safari kwa kausingizi ka kiaina.hii yote ni katika pilika pilika za kujitafutia Rizki za kila siku.
Safari ikiendelea.
No comments:
Post a Comment