Sijui ni kodi au chumba kidogo au ni biri tuu za umeme na maji mpaka wadau hawa kufungasha mizigo asubuhi na mapema kuamisha sehemu nyingine.
mzee wa chipsi mayai nae mapemaa na jiko lake la pumba za mbao.
huyu nae baada ya kupeleka mchuma wake kwa mafundi anaanza kukolokochoa mwenyewee
dala dala nao hawako mbali na tabia zao za kufoji vitu ona sasa mpaka boneti la nyuma limefunguka.
No comments:
Post a Comment