Kamera ya Mtaa kwa Mtaa imemnasa mdau huyu akijikusanyia Mchanga uliokuwa umejazana barabarani tayari kwa kujisevia.Haikufahamika mara moja sababu ya mdau huyu kuukusanya mchanga na wapi alikokuwa akipeleka.
Tuesday, January 6, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment