HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 6, 2015

MTAANI KWETU

 Watoto wa nyumba mojaa familia tofauti tofauti wakiwa katika michezo yao kama kawaidaa yao watoto na michezo mtaani kwetu.
      hawa nao wakipasha misuli kwa mdundiko wa ngoma za asili tayari kwa shoo mtaani kwetu.
 madogo hawa wakiifanyia makeke honda kwa kuchangiana viji neno juu ya hondaa hiyoo mtaani kwetu.
wenye nyota ya samaki pia wapo mtaani kwetu kama walivyo naswa na kamera yetu ya mtaa kwa mtaa blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad