HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 26, 2015

MAMBO YA SHULE ZA NANII HAYA.

 Kamera ya mtaa kwa mtaa blog katika udadafuaji wa mitaa leo imekumbana na taswira za wanafunzi wa shule ya msingi nanii pale wakiwa katika somo mradi.
 huu ni uwanja wa michezo na hapa wakiwa wamejipanga kuajili ya kupeana namba za mtanange wao wa kishule shule.
hapa mambo ni raha mustalehee wewe mwenyewe si unaona takataka kawaidaa magonjwa yana waogopa hawa.
 dogo nae anajitanua  na kidole chake wala hana nongwa na mtuu.

 mikoba ya kisalufeti na mifagio haikosi shuleni pale kwa wanafunzi kama hawa walivyo naswa na kamera yetu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad