HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 24, 2015

MADOGO NA MTINI

 Kamera ya mtaa kwa mtaa blog imewanasa madogo katika michezo yao juu ya mti, huwenda kwao nifurahaa kutokana na utashi na upeo wao wa akili wao kama watoto, kwa upande mwingine kwa wazazi huwa tofauti kidogo na mawazo ya watoto wao kwakuwa sehemu hiyo ni ya hatari na lolote linaweza kutokea kwani bado ni wadogo sana na wanafanya utundu wa kupanda mti bila kujari ulefu wa mti huo
ona hapa kwa kina urefu wa mti huo na sehemu wanazo pita juu ya mti huo, wazazi kumlinda mtoto ni jukumu letu sote jaribu nawe kumfunza mwanao hususani katika swala la michezo pindi awapo nyumbani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad