HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 21, 2015

KWELI HUU NI WASAHA WA DIGITALI

 Matembezi madogo ya kamera mani wetu wa mtaa kwa mtaa blog,alikatiza mtaa wa maendeleo jijini mbeya na kujinyakulia taswira hii ya meza ya vinywaji ikiwa na mwamvuli wake wa dishi la dekoda lilo pambwa katika meza hiyoo kwa kuashilia dhahiri jinsi gani digitali ilivyo tawala ulimwenguni.
kwaheri analojia ni wasahaa wa digitali

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad