HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 8, 2015

KUNGURU WA NANIHII

 Katika pita pita zangu,nimebahatika kuwanasa Kunguru hawa maarufu kutoka nanihii kule,wakiwa wamejikusanya,nahisi watakuwa wanajadiliana kuhusiana na kampeni ya kimya kimya inayoendelea hapa jijini ya kuwatokomeza kutokana na utovu wao wa nidhamu.sasa sijui ndio wanapanga namna ya kusevu?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad