Siku ya warembo ni usiku unaowakutanisha pamoja warembo wote wa mjini ambao hufanyika kila Alhamis ndani ya Kiota cha maraha cha Samaki Samaki City centre Jijini Dar.Usiki huo hunogeshwa zaidi na magoma ya nguvu yanayoporomoshwa kutoka kwa maDJ wakali wa Samaki Samaki ambao ni Dj Sinyorita the hottest female DJ in town na DJ Vasley.
Mmoja wa wadada warembo katika Usiku wa Warembo ndani ya kiota cha Samaki Samaki City centre Jijini Dar.
Usiku wa Warembo huwa na watu mbali mbali.
Wadau kutoka maeneo mbali mbali jijini Dar wakiwakilisha vilivyo ndani ya Usiku wa Warembo.
Mdau Edward Lusala (wa pili kulia) akiwa na swahiba wake Leonard (pili kushoto) wakiwa pamoja na Warembo wa kiota cha ndani ya Samaki Samaki City centre Jijini Dar.
Warembo ndani ya Usiku wa Warembo.
Mdau Steve akiwa na Wadada Warembo,Eda na Viola.
No comments:
Post a Comment