Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Daud Msangi (alieketi kulia) pamoja na Meneja wa Mradi kutoka PSM Archtect Co Ltd,Peter Matinde (alieketi kushoto) wakitiliana saini mkataba wa makubaliano wa Ujenzi wa 'Shopping mallas' katika mikoa ya Morogoro na Kilimanjaro,katika ukumbi wa Mikutano wa Mfuko huo Victoria,jijini Dar es Salaam.Wanaoshuhudia toka kulia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji (GEPF),Festo Fute, Mkurugenzi wa Fedha (GEPF), Coster Mpagike, Mkurugenzi wa Uendeshaji (GEPF),Anselim Peter, Mhandisi Richard Shumbusho (Inerconsult) na Amedeus Chacky kutoka Matawana Consulting Group
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Daud Msangi (wa tatu kulia) pamoja na Meneja wa Mradi kutoka PSM Archtect Co Ltd,Peter Matinde wakikabidhiana rasmi mkataba wa ujenzi wa ‘shopping malls’ katika mikoa ya Kilimanjaro (Karanga) pamoja na Mkoa wa Morogoro (Kihonda) huku wakishuhudiwa na wawakilishi wao pamoja na Afisa mwandamizi wa kitengo cha manunuzi cha GEPF,Charles Mnyeti.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Daud Msangi (alieketi kulia) pamoja
na Meneja wa Mradi kutoka PSM Archtect Co Ltd,Peter Matinde wakifurahia
jambo pamoja na wawakilishi kutoka taasisi zao,wakati wa kutiliana saini
mkataba wa makubaliano katika Ujenzi wa 'Shopping mallas' katika mikoa
ya Morogoro na Kilimanjaro.
Wawakilishi
kutoka katika Mfuko wa GEPF pamoja na kampuni za PSM Archtect, M/S
Interconsult Ltd na Matawana Consulting Group wakijadiliana kabla ya
kutiliana saini kwa mkataba wa makubaliano katika Ujenzi wa 'Shopping
mallas' katika mikoa ya Morogoro na Kilimanjaro.
No comments:
Post a Comment