mdau akiwa ametoka mzigoni katika harakati za ukaguzi wa shamba lake na kubahatika kupata baadhi ya kuni kuajili ukusukuma kidogo viji dona nyumbani kwake.
dogo akipiga peda na staili yake ya kipekee bila kujali yeye ni jinsia ganii.
maandalizi ya dogo kwenda mtoni kuteka maji.
madogo janja wakitungua maembe mtini.
dogo juu ya mtii akifanya yake pia juu ya mwembe huo.
mambo ya kiendelea mitaa ya chimala.
No comments:
Post a Comment