Swimingi pulu ya kisasa na iliyonakshiwa kwa rangi mwanana ya kijani kibichi katika moja ya mitaa iliopo katika eneo la Kinondoni Kanisani karibu kabisa na Bar maarufu ya Hombus,kama ilivyonaswa mchana wa leo na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog na haina kulipia wala nini.Wenyeji wa eneo hilo hawana shinda ya kwenda mbali kwa lengo la kutaka kuogelea,wanatoka tu makwao na swimingi kosti na kupiga mbizi majini.
Saturday, December 20, 2014

Home
Unlabelled
swimingi pulu ya nguvu mitaa ya Kinondoni Kanisani jijini Dar
swimingi pulu ya nguvu mitaa ya Kinondoni Kanisani jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment