HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 24, 2014

shtuaaaaaa.......

 Pale mnapokuwa kwenye daladala ambalo ikitokea kwa bahati mbaya Dereva kashindwa kubalansi mambo yake pale chini na kupelekea gari kuzima katikati ya barabara,halafu betri ya gari hiyo iwe ni mbovu.basi ni lazima ukutane na hii kitu ili muweze kuendelea na safari.hii imetokea usiku huu maeneo ya Makumbusho jijini Dar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad