Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu
wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam
leo Desemba 2, 2014.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuangalia Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad akiweka sahihi yake
kwenye nyaraka baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 2, 2014.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitia sahihi yake kwenye nyaraka
baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa
Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 2, 2014.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akimkabidhi vitendea kazi baada ya
kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa
Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 12, 2014
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na CAG Mstaafu Bw. Ludovick
Utouh Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 2, 2014.
Rais Jakaya Mrisho kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib
Bilali, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande
Othman, Spika Anne makinda na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya na
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad
Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 2, 2014.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na familia ya Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini
Dar es salaam leo Desemba 2, 2014.
Rais Jakaya Mrisho kikwete katika picha ya pamoja na Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na
wafanyakazi wa ofisi ya CAG Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 2, 2014.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment