HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 18, 2014

PPF YAWAPIGA MSASA WAVUVI, UKEREWE

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dk Titus. M. Kamani (Mb) akifungua semina ya PPF kwa wavuvi wa Ukerewe iliyofanyika Wilayani Ukerewe hivi karibuni. Kushoto kwake ni Meneja wa PPF Kanda ya Ziwa Bw. Meshack Bandawe na kulia kwake ni Katibu Tawala Wilaya ya Ukerewe Bi. Mariam Mapunda.
Katibu Tawala Wilaya ya Ukerewe Bi. Mariam Mapunda akizungumza wakati wa semina ya PPF kwa wavuvi wa Ukerewe. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke Bw. Mapunda.
Meneja wa PPF Kanda ya Ziwa Bw. Meshack Bandawe akizungumza wakati wa semina ya PPF kwa wavuvi wa Ukerewe. Kushoto kwake ni Mbunge wa Ukerewe Mh. Salvatory Machemli na kulia kwake ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dk Titus. M. Kamani (Mb).
Wavuvi walioshiriki semina hiyo ya PPF Wilayani Ukerewe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad