Huu ni mtaa wa Migombani, maeneo ya Ada estate kutokea eneo la ofisi kuu ya ZANTEL. Viraka hivi vimekuwepo kwa zaidi ya miezi sita bila ya kuzibwa na hivyo kusababisha foleni ya magari hasa wakati wa jioni.

ReplyDelete