HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 4, 2014

Neema ya Mvua jijini Dar leo

Katika maeneo mengi ya Jiji la Dar es Salaam,mambo yalikuwa namna hii wakati Mvua ya neema ikinyesha kwa wingi.Hii ni dalili njema kwa wakulima (sijui kama wapo hapa Dar es Salaam??) kwani italeta msikumo mkubwa wa wao kuhamia mashambani na kuendeleza kilimo.
 imepiga kweli kweli.
 Muuza maboya akiendelea kuyajaza upepo kwa wingi wake kama alivyonaswa na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa maeneo ya Sayansi,Kijitonyama leo.
Wapanda pikipiki nao mambo yalikuwa hivi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad