HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 25, 2014

MTAFUTAJI HACHOKI.....

 Ikiwa leo ni Sikukuu ya Krismas,Kamera ya Mtaa kwa Mtaa imemnasa mdau huyu akikata mitaa ya katikati ya jiji la Dar huku akiwa na lumbesa ya makopo chakavu,ambayo kwa sasa si uchafu tena na badala yake imekuwa ni bonge la dili.Hapo akiufikisha huo mzigo hakosi chochote kitu cha kumfanya aisherehekee vyema sikukuu hii.Picha na Emmanuel Massaka wa Mtaa kwa Mtaa Blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad