Mtazamo
wa mzee wa mtaa kwa mtaa baada ya kutupia kijicho jijini mbeya na
kukuta mabati mengi jijini humo ni ya rangi ya chocolate kutokana na
kutu za mabati hayo kuwa na muda mrefuu, kupitia taswira hizi nawe pia
mdao unaweza kubatiza jina hilo la chocolete city kutokana na vijana
wengi wa jiji la mbeya hujivunia kwa kujiita wana green city.
taswira kutoka upande wa juu muone kano wa jiji hilo.hapa ndo uchocolete ukiwa umetawara.
hapaa chocolate ikiendelea kuchukuwa nafasi yake kwa wingi zaidii.
hapa kuna mchanganyiko wa green na chocolate.
hapo vipi wana chocolate city.
No comments:
Post a Comment