HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 1, 2014

MAGARI YAANGUKIWA NA MTI JIJINI DAR LEO

Mti Mkubwa uliopo kando kando ya barabara ya Sea View,Upanga jijini Dar es Salaam leo umepiga mweleka na kuangukia magari kadhaa yaliyokuwa yameegeshwa chini ya mti huo kama ionekanavyo pichani hapo.
 Sehemu ya magari yaliyoangukiwa na Mti huo mchana huu.
 Sehemu ya mashuhuda wa tukio la kuanguka mti mkubwa katika barabara ya Sea View,Upanga jijini Dar es Salaam.baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa chanzo cha kuanguka mti huo ni ukongwe wa mti huo.

 Muonekano wa Mti huo.
 Mti huo ukiwa umeangukia ukuta.
 Baadhi ya wamiliki wa magari hayo wakijadiliana mara baada ya magari yao kuangukiwa na mti huo.
 hapo kwenye hiyo viti kuna watu walikuwa wamekaa lakini walinusurika.
Hawa ndio waliokuwa wamekaa kwenye hivyo viti.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad